Pages

Ads 468x60px

Thursday 27 June 2013

BAADA YA MANENO MENGI NA KUTUPIWA CHUPA JUKWANI HATIMAYE OMMY DIMPOZ AMESAINI MKATABA NA KAMPUNI YA DMK

dimpoz alisema
"yaah nimesaini mkataba na nitaondoka kwenda kwenye tour hiyo mwanzoni mwa mwezi wa tisa, imekuwa hivyo kwasababu tunasubiri mwezi mtukufu upite si unajua tena, kampuni niliyosaini nayo inaitwa DMK global promotion ambayo ni ya mtanzania ambae anaishi marekani." amesema Dimpoz
nilipomuuliza kuhu mkwanja alioingiza kwa mkataba huo, Dimpoz aligoma kutaja kiasi na kusema 
"aaaah unajua tena kwa matatizo yaliyotokea nikitaja tena na mkwanja nilioingiza si ndio itakuwa matatizo kabisa? .

0 comments:

Post a Comment