Pages

Ads 468x60px

Featured Posts

.

Thursday 27 June 2013

BAADA YA MANENO MENGI NA KUTUPIWA CHUPA JUKWANI HATIMAYE OMMY DIMPOZ AMESAINI MKATABA NA KAMPUNI YA DMK

dimpoz alisema
"yaah nimesaini mkataba na nitaondoka kwenda kwenye tour hiyo mwanzoni mwa mwezi wa tisa, imekuwa hivyo kwasababu tunasubiri mwezi mtukufu upite si unajua tena, kampuni niliyosaini nayo inaitwa DMK global promotion ambayo ni ya mtanzania ambae anaishi marekani." amesema Dimpoz
nilipomuuliza kuhu mkwanja alioingiza kwa mkataba huo, Dimpoz aligoma kutaja kiasi na kusema 
"aaaah unajua tena kwa matatizo yaliyotokea nikitaja tena na mkwanja nilioingiza si ndio itakuwa matatizo kabisa? .

Wednesday 26 June 2013

(Audio) NU JOINT : DRAKE THE MOTION

QUEEN DARLEEN: KWENYE MAPENZI UBABE NAUWEKA PEMBENI

 

(VIDEO) Ommy Dimpoz akifukuzwa jukwaani na mashabiki Kili Music Tour Dodoma 2013]

baada ya kutokea amesema sijasema, ni 
kweli ni uongo wiki iliyopita, kuhusu kutoa maneno ya dharau kwa Marehem Albert Mangweha a.k.a Ngwea, (ujinga wake umemfanya afe maskini), Ommy Dimpoz ametokea kupokea makopo na chupa akiwa stajini  (Kili tour) siku ya jumamosi ndani ya dodoma, Ommy alionekana steji akiwa anaimba na kukwepa makopo kwa wakati mmoja na baada ya kushindwa kuyavumilia aliamua kuachia stage na kushuka chini na mwisho kuondoka na kurudi hotelini alipofikia"ndio hivyo, nilikua nimepanda stajini, unajua kutokana na hili lililotokea, kwa hiyo tangia mwanzo hata mimi wenyewe nilijua labda kunaweza kukatokea fujo, lakini nilivyopanda watu walinipokea kuliko nilivyotarajai, kwasababu ndio tumetoka katika vugu vugu hili la, matatizo haya ambayo yamejitokeza sasa hivi.

kwahiyo ilivyofikia nimemaliza kuimba baadae, unajua hata kama kuna mtu alipanga kufanya fujo lakini ilikua sasa nguvu hata akipiga yeye akitaka kutumia nguvu ya watu wanaoshangilia ni wengi, ilipofika wakati naimba wa me and you, namalizia mwisho ndio kuna  baadhi ya mashabiki wakarusha makopostajini, lakini si unajua mimi mwenyewe nimepitia kumfuu kidogo kwahiyo nikayapangua, nilicheza nayo paaaaa paaaaaa.

imeenezwa chuki kwamba mimi nimemtukana marehem Albert kitu ambacho sio kweli, nimejaribu kukielezea kwenye media mbali mbali kuwa si kweli, wametumia kauli yangu niliyoongea kupitia Killi siku ya Tanzania Music Awards wakati kitu nilichokiongea nitofauti na kitu kilichokuja kupandikizwa, lakini mi najua safari ya mziki ni ndefu, na mwenyezi mungu atajaalia tu haya mambo yatakwisha kwasababu hata yeye mwenyewe anajua sina kosa, sija mkosea mtu wala sina tatizo na mtu, nafanya tu maisha yangu ya mziki, lakini inapofikia time unajua mtu mwingine anaweza akaja tu na sababu zake binafsi kwa nia ya kukuvuta shati, lakini kama mungu amendika njia yako nyeupe basi itakuwa nyeupe tu, na hakuna njia iliyonyooka siku zote lazima inakua na vikwazo kidogo, kwa hiyo naamini hii ni mitihani tu itaisha kwasababu sina tatizo na mtu.

nachoamini binaadam tunakufa pengine roho pengine zinabaki zina hang, hata marehem mwenyewe naimani anajua kwamba sikumtukana...................

Tuesday 11 June 2013

KALA JEREMIAH MSANII BORA WA HIP HOP AMESEMA KATIKA TUZO ALIZO PATA MOJA ANAMPA MAREHEMU MANGWEA

Msanii kala jeremiah msanii bora wa hip hop aliandika leo kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa tuzo alizopata moja anampa marehemu ngwea na kuikabidhi kwa mama yake ngwea alisema
"TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KWA UJUMLA

mIMI KAMA MSANII BORA WA HIP HOP KWA MWAKA HUU NAPENDA KUCHUKUA MUDA HUU KUWATANGAZIA WATU WOOTE KUWA. KATIKA TUZO TATU NILIZOCHUKUA MOJA NAIKABIDHI KWA ALBERT MANGWEA.YANI NI TUZO YA MANGWEA NA NITAIPELEKA KWA MAMA MZAZI WA MANGWEA MOROGORO.

NIMEAMUA HAYO KWA KUWA HAYATI ALBERT MANGWEA ALIKUWA ANAFANYA MZIKI AMBAO UKO UPANDE AMBAO MIMI NIMESHINDA TUZO TATU YANI HIP HOP.

TUZO NILIYOAMUA KUMPA MANGWEA NI TUZO YA MSANII BORA WA HIP HOP. KWA KUWA ALIKUWA ANASTAHILI PIA KUITWA HIVYO

TUZO HII NAAMINI ITAKUWA UKUMBUSHO MHIMU SANA KWA FAMILIA YAKE.LAKINI PIA ITAKUWA INAONYESHA MSHIKAMANO WETU KAMA WASANII WA HIP HOP.''

POPOTE ULIPO KAMA WEWE NI SHABIKI WA HIP HOP TAFUTA NJIA YOYOTE YA KUENDELEA KUMUENZI NDUGU YETU"

Monday 10 June 2013

NEWS HABARI ZILIZO TUFIKIA MSANII WA MAIGIZO NCHINI KWA JINA LA USANII KASH AU JAJI KHAMISI AMEFARIKI DUNIA

mungu ailaze roho ya marehemu kash peponi AMINI

DIAMOND: KAZI NINAYO FANYA SIYO YA KITOTO

 
Mwanamuziki Naseeb Abduli (diamond) amesema kuwa hashangazwi na mashabiki kumfuata kila anapokatiza kwa kuwa kazi anayofanya siyo ya kitoto.Diamond alipatwa na mkasa wa kuvamiwa na maelfu ya waombolezaji kwenye viwanja vya leaders jijini dar es salaam alipo enda kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Albert Mangwea aliye fariki wiki iliyopita nchini afrika kusini "sishangazwi na hali hiyo bali inaonyesha jinsi gani nafanya kazi nzuri kiasi mashabiki wangu kutaka kuwa karibu yangu muda wote

(picha) MSANII WA SIKU NA UNSTOPPABLE PALE KATI NI LUCY KOMBA MSANII WA BONGO MOVIE


Kama utakuwa mshabiki na mtazamaji mzuri wa filamu za bongo movie jina lucy francis komba halitakuwa jipya masikioni mwako .Msanii huyo
  alianza sanaa katika kundi la kaole akishiriki 
baadhi ya vipindi vya television na baadaye
kujiunga na kikundi cha dar talent ambapo 
alishiriki filamu moja ya vichekesho
katika sanaa lucy amecheza filamu 50
lucy kwa sasa anasubiri kuzindua filamu
yake mpya aliyo ifanya nchini denmark
filamu hiyo aliyoipa jina la (tanzania
to denmark) nje ya filamu lucy ni 
mfanyakazi wa serikali ya jamuhuri
ya muungano wa tanzania kama katibu 
muhtasi katika mahakama kuu ya tanzania
lucy alizaliwa oktoba 24 alipata elimu ya
awali na msingi oysterbay kabla ya kuendelea
na shule ya sekondari kibosho baada ya kumaliza 
akasoma chuo cha utumishi wa serikali ambapo
alisomea teknolojia ya mawasiliano na kupata diploma

Monday 3 June 2013

(PICHA) MSANII WA SIKU NA UNSTOPPABLE PALE KATI NI ROSE ANTONY MISS BAGAMOYO NAMBA TATU (3)



Mwanadada rose antony akiwa kwenye pozi

(PICHA) KITUKO CHA SIKU NA UNSTOPPABLE MASHINDANO YA KISS NCHINI CHINA

Mmoja kati ya mshiriki wa mashindano ya kiss nchini china akiwa kwenye pozi huku wakipigana kiss na mpenzi wake  mashindano hayo hufanyika kila mwaka nchini humo

 kweli duniani kuna vituko haya mashindano ni nouma kweli unaweza kumkiss mpenzi wako kwa muda mrefu bila kupumzika kama unaweza basi unaweza kushiriki kwenye mashindano haya na mshindi hupata yuan 500000 ni sawa na 13milion za kibongo

(audio) NU JOINT : STIM+RECORD - nGWEA+mNYAMA+(R.I.P)_StIM+ReCoRd_produced+by+StiM+mAstER

Sunday 2 June 2013

AUNT EZEKIEL ACHANA NA MUVI NA KUGEUKIA MUZIKI AFANYA KOLABO NA JANUARY

Staa wa muvi za kibongo "aunt ezekiel  mrs demote" amewashtua wadau kwa kuamua kuingia kwenye muziki akizungumza na unstoppble aunt alisema ameamua kujitosa kwenye muziki kwani anaamini yeye ni msanii hivyo anaweza kufanya sanaa ya aina yoyote na alipo kutana na mwanamuziki wa bendi ya mapacha watatu January ndipo walipo pata idea ya kurecod

KITUKO CHA SIKU NA UNSTOPPABLE KIBAKA ACHOMWA MOTO KWA WIZI WA KIBEGI CHA SIMU MBAGALA



Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia  ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi...

Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo alisahau kufunga mlango  na  kwenda kwa jirani...Alipotoka tu, Kibaka huyo alizama   ndani na kuchukua begi la nguo taratiiibu kama lake! 

Hakuridhika na begi,  alivyotazama pembeni aliona kuna  simu .Bila  kupoteza muda, kibaka huyo aliihifadhi mfukoni ..

Balaa  liliazanza wakati anajiandaa  kutoka...Alipofika  mlangoni, kibaka huyo alikutana na mwenye nyumba uso kwa uso.....!!! 

SINEMA ILIANZIA HAPO!!!!! Watu mwiziii... mwiziiii mwiziiiiiiiiiii....!!!!! 

Kutokana na uzoefu wake wa muda mrefu, jamaa huyo alibahatika kujisweka ndani  jumba bovu lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake....

Raia wenye hasira kali hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo walikata tamaa. Wakati wanarudi nyumbani kwao mara ghafla  jamaa  akakurupuka na  kuchomoka kwenye dirisha la lile jengo bovu alikokuwa amejificha....
 
Harakati zikaanza upyaaaaaa!!!!! YAAAANI...!! jambazi hakuchukua raundi akatiwa mikononi... 

Tuesday 28 May 2013

MIAKA 13 NDANI YA MUSIC NA LADY JAYDEE NDANI YA NYUMBANI LOUNGE IJUMAA HII

Ijumaa hii ndani ya nyumbani lounge patakuwa hapatoshi kwa ile show ya miaka 13 ya komando jaydee usikose pale ujionee mambo mazuri kutoka kwake

Monday 27 May 2013

NU (video) NAY WA MITEGO ft DIAMOND _MUZIKI GANI

MSANII WA SIKU NA UNSTOPPABLE PALE KATI NI MISS BAGAMOYO NAMBA 5 (FATMA RASHID)





Mwanadada fatma rashid ndiye nyota wasiku aliyeshiriki kwenye mashindano ya miss bagamoyo yaliyo shirikisha warembo kibao kutoka kila pande za jiji na mwana dada huyo kuibuka namba tano(5) kati ya washiriki saba(7) nakupewa nafasi ya kushiriki miss pwani shindano ambalo lipo karibuni kuanza mwanadada aliku na haya yakusema "kwa sasa nipo najifua ili niweze kushinda kwenye miss pwani sitaki kupata na 3 wala 2 nataka namba  moja na asante sana kwa wote walio nipa ushirikiano wa hali na mali nawapenda wote"

(audio) NU JOINT : MIRY_JAY SIHITAJI_ MAPENZI

(Video) KAMA ULIKOSA KUCHEKI BBA THE CHASE CHEKI HAPA

Thursday 23 May 2013

KAA TAYARI KUPATA NGOMA KALI KUTOKA KWA MIRY JAY (SUPER BABY)

kaa tayari kupata track kali kutoka kwake.Msanii huyo alisema "nahitaji support yenu wadau ndo kwanza naingia kwenye game nawahaidi kuwapa vitu vizuri kutoka kwangu nawapenda sana "alisema mwanadada huyo wakati akizungumza na unstoppable ndani ya maisha club.
(picha na unstoppable)

(VIDEO) KITUKO CHA SIKU NA UNSTOPPABLE MTANGAZAJI ANYONYA MATITI LAIVU NDANI YA TV SHOW

MSANII WA SIKU NA UNSTOPPABLE PALE KATI NI ABRAH MBILI MBILI



(audio) NU JOINT : UNSTOPPABLE_ft_STIM MASTER __HELLOW