Pages

Ads 468x60px

Wednesday, 1 May 2013

orme plush

msanii anaye chipukia mwenye sauti tamu kama ben paul orme plush  aja na ngoma yake kali aliyo fanya na master p aliyoipa jina la handsome ngoma imepikwa pale stim record na stim master wako kaa tayari kupata ngoma hiyoo

0 comments:

Post a Comment