Pages

Ads 468x60px

Saturday, 4 May 2013

WASAFI TOUR UK

Kundi la wasafi linalo ongozwa na diamond wapo nchini england kwa tour ya kujifunza ufanyaji kazi napia kubadilisha hali ya hewa alisema diamond kuwa"naenda england kufanya kazi nasio mauzoo" tunamtakia mafanikio mema kwa hatua aliyo fikia big up bro

0 comments:

Post a Comment