Pages

Ads 468x60px

Monday 10 June 2013

DIAMOND: KAZI NINAYO FANYA SIYO YA KITOTO

 
Mwanamuziki Naseeb Abduli (diamond) amesema kuwa hashangazwi na mashabiki kumfuata kila anapokatiza kwa kuwa kazi anayofanya siyo ya kitoto.Diamond alipatwa na mkasa wa kuvamiwa na maelfu ya waombolezaji kwenye viwanja vya leaders jijini dar es salaam alipo enda kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Albert Mangwea aliye fariki wiki iliyopita nchini afrika kusini "sishangazwi na hali hiyo bali inaonyesha jinsi gani nafanya kazi nzuri kiasi mashabiki wangu kutaka kuwa karibu yangu muda wote

0 comments:

Post a Comment