Pages

Ads 468x60px

Monday 10 June 2013

(picha) MSANII WA SIKU NA UNSTOPPABLE PALE KATI NI LUCY KOMBA MSANII WA BONGO MOVIE


Kama utakuwa mshabiki na mtazamaji mzuri wa filamu za bongo movie jina lucy francis komba halitakuwa jipya masikioni mwako .Msanii huyo
  alianza sanaa katika kundi la kaole akishiriki 
baadhi ya vipindi vya television na baadaye
kujiunga na kikundi cha dar talent ambapo 
alishiriki filamu moja ya vichekesho
katika sanaa lucy amecheza filamu 50
lucy kwa sasa anasubiri kuzindua filamu
yake mpya aliyo ifanya nchini denmark
filamu hiyo aliyoipa jina la (tanzania
to denmark) nje ya filamu lucy ni 
mfanyakazi wa serikali ya jamuhuri
ya muungano wa tanzania kama katibu 
muhtasi katika mahakama kuu ya tanzania
lucy alizaliwa oktoba 24 alipata elimu ya
awali na msingi oysterbay kabla ya kuendelea
na shule ya sekondari kibosho baada ya kumaliza 
akasoma chuo cha utumishi wa serikali ambapo
alisomea teknolojia ya mawasiliano na kupata diploma

0 comments:

Post a Comment